Search

236 results for Peter Saramba :

  1. Wananchi wataka ratiba, mikakati kukabiliana na mgawo wa umeme

    Wananchi wametaka kutolewa kwa ratiba ya kukatika kwa umeme katika maeneo yao ili kuwawezesha kupanga ratiba na kutosimamisha shughuli zao za uzalishaji.

  2. Familia yanusurika kifo wakishambuliwa na mbwa wao

    "Mbwa wangu walikuwa aina ya Bull Dog na nimeishi nao takribani miaka saba. Yupo mtu anayewatunza. Watoto wangu walirejea likizo na tumeishi bila tatizo hadi usiku wa juzi tukio hilo...

  3. Aliyekuwa waziri wa utalii aburuzwa kotini kwa ufisadi

    Mradi wa ujenzi wa Chuo cha Utalii cha Ronald Ngala katika ukanda wa pwani ya Kenya ulilenga kupunguza mzigo (wa wingi wa wanafunzi) katika kituo chake cha mjini Nairobi.

  4. PRIME Undani msaada safari za usiku mabasi

    Wakati zimesalia siku tatu kabla ya Krismasi na siku 10 kuhitimisha mwaka 2023 na kukaribisha mwaka mpya wa 2024, usafiri wa kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali, hali ni shwari tofauti...

  5. Mitandao ya kijamii yatajwa kuleta ukakasi

    Amesema hivi karibuni kumekuwa na matukio ambayo yaliibuliwa na kuleta mchango mkubwa ikiwemo lile la ukatili lililofanywa na aliyekuwa Naibu waziri wa Sheria na Katiba, Pauline Gekul, chanzo...

  6. ACT-Wazalendo 'waitaka' Kigoma chaguzi zijazo

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama cha ACT-Wazalendo, Mhonga Said Ruhwanya amewataka wakazi wa Mkoa wa Kigoma kuwachagua wanaotokana na chama hicho katika chaguzi zijazo ili waonyeshe tofauti ya...

  7. ACT-Wazalendo yapigania viwanda vya kahawa Kigoma

    Chama cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kujenga viwanda vya kuchakata mazao ya kilimo ikiwemo kahawa kuwahakikishia wakulima soko la uhakika la mazao yao.

  8. Zitto: Nang’atuka uongozi wa ACT-Wazalendo 2024

    Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hatagombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Machi, 2024.

  9. Zitto kupigania ujenzi barabara kuunganisha Kigoma-Katavi

    Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kampeni maalumu kuishinikiza Serikali kujenga barabara ya Simbo-Rukoma-Kalya-Mpanda kwa kiwango cha lami, ili ipitike kipindi chote cha...

  10. Sintofahamu hekta 10,000 alizotoa Magufuli Kasulu

    Madai hayo pia yalitolewa na Alfred Nsanzugwako kutoka Kijiji cha Mvinza, akisema baadhi ya maeneo ambayo sasa wananchi wanakodishwa kwa malipo kati ya Sh20, 000 hadi Sh50,00 kwa ekari kwa msimu...

Page 1 of 24

Next